Pages

Search This Blog

michuzi, MK,HAKI NGOWI, BONGO CELEBRITY, WATANZANIA, NGURUMO

Wednesday 30 September 2009

Godorn Brown: labour itashinda bila nguvu ya soda

Mapema leo hii, mheshimiwa Waziri Mkuu nchini humu [uingereza] Bw. Gordon Brown amesema kwamba ni wananchi wenyewe ndio watakao fanya matokeo ya uchaguzi unaokuja kuwa yanavyostahili. Mh. Brown alitoa kauli hiyo baada ya kuona kwamba Gazeti la The Sun linavyomkumbatia bwana Cameroon, na hivyo kusistiza kwamba ni wananchi wenyewe nasi The Sun ndio watakao toa majibu ya uchaguzi.

blog yetu ya Zefumo ilimkariri mheshimiwa brown akisema kwamba vyombo vya habari ikiwemo magazeti yako entittled [kumradhi nimekosa neno la kiswahili kuliweka hapo]na kutoa maoni yao kwa jinsi wanavyotaka, hatahivyo sidhani kama wa hariri ndio watakao toa matokeo ya uchaguzi.

kutoka kushoto basi ni Mh. Gordon Brown, David Cameroon [katikati] na Nick Clegg kushoto.



Gordon Brown, David Cameron and Nick Clegg



picha na Abdallah Shelufumo
Zefumo.co.uk

Monday 28 September 2009

happy birthday oracle reading

tarehe 24, sept 2009 oracle ya reading kutimiza miaka 10 tangu kuanza kutoa huduma yake ya mambo yetu yale mishopping, mafasheni mbalimbali na huduma kadha wa kadha ikiwemo na migahawa, bila shaka wadau wangu ally kilo a.k.a ze pizza the heart ananisoma bila kumsahau anko na nihiiiiii a.k.a tevez .
hatahivyo mmiliki wa blog hii Zefumo Mheshimiwa. Abdallah Shelufumo alikuwepo na kushuhudia tukio zima la tafrija ya maadhimisho hayo ndani ya reading pamoja na wadau wengine wakiwemo kaka na nihii, rasheed, yunga boy a.k.a mjivijivu, andrew a.k.a mpwa bila kuwa sahau wadau wote wa vicent.

utambulisho tu wa haraka haraka, toka kulia ni meneja masoko oracle Steve Belam na mgeni wa heshima mwenyekiti wa tume a jiji Fred Pugh wakati wa zoezi la kukata keki.


Mayor Fred Pugh and Oracle general manager Steve Belam cut the giant birthday cake




The Oracle celebrates

na Abdallah Shelufumo

mambo ya x factor

Strictly judge Craig Revel Horwood dismisses ratings war with X Factor

Craig Revel Horwood (Pic:BBC)

Strictly Come Dancing judge Craig Revel Horwood has blasted rival show The X Factor was only finding "flash-in-the-pan" pop singers.

speaking to Zefumo the star as a result, he wasn't bothered about the weekend ratings war, which Strictly is currently losing by 1.4million viewers.

Craig said: "I really don’t see how the two compare. One’s a talent show for people to become pop singers with the longevity of about a year, ours is a show about celebs learning to dance."

Craig, 44, has openly supported Arlene Phillips, who was replaced by Alesha Dixon on the judging panel this year.

He says he misses Arlene and would happily give up his place for her, although not exactly for the right reasons. Craig said: "I’m so jealous that Arlene’s got the job of being a judge on So You Think You Can Dance
haya sasa kazi kwako leyla na mambo yetu yale next.

sir Alex fugerson kumpa bichwa Giggs

Sir Alex Ferguson heaped yet more praise on Ryan Giggs following the Reds’ impressive 2-0 yaani[mbili bila] win over Stoke at the Britannia Stadium.The Welshman stepped off the bench at 0-0 to create both goals, first latching on to Darren Fletcher's fine threaded pass to cross for Berbatov to tap in, then curling in a free-kick for John O’Shea to head home. The United boss was delighted with Giggs’ contribution, and hailed his positional sense as a key factor in the midfielder’s performance.“He’s important, he made the goals,” Sir Alex told MUTV. “I felt his intelligence would give them a bit of bother on that side of the pitch."I think Nani did his job quite well. He kept penetrating and keeping them pinned back, but Ryan brings you something else. He’s got the intelligence to take up good positions and for the first goal he made a lovely run in behind them to get the pass from Darren Fletcher and roll it along for Berbatov to score.”Ferguson was also elated with Giggs’ free-kick that led to O’Shea’s header, which sealed the winner and made the Irishman’s 350th appearance for the Reds one to remember.
“It was a nice free-kick from Ryan. You’re always looking for that second goal to kill the game – the sooner it comes the better.“I felt we were a much bigger threat in the second half, particularly after we scored.”
mdau wangu rasheed naona ni furaha tupu huku alipo.
by Abdallah shelufumo
blog yenu ya ze fumo ambayo ndio blog ya kwanza kwenye sayari
kuchapisha picha za Meddy akiwa ÔbenetiÕ na mkewe, Zaitun Kessy Mpakanjia ambazo zilipigwa muda mfupi baada ya wawili hao kufunga pingu za maisha.Picha hizo ambazo gazeti hili limezinasa kupitia kwa vyanzo vyake, zilipigwa kwa njia ya simu wakati Meddy na Zaitun walipokuwa wameketi kitandani kwenye moja ya vyumba vya nyumbani kwa bibi harusi huyo.Katika picha hizo, marehemu Meddy licha ya kwamba yupo jirani na mkewe na alikuwa ametoka kwenye shughuli ya kufunga ndoa ambayo ni tendo la furaha lakini yeye anaonekana hana raha na amepooza.Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, hali ya Kitendawili ilianza kubadilika wakati akiwa anafunga ndoa na ilifikia kipindi alijieleza wazi wazi kwamba alikuwa akijisikia vibaya.Vyanzo vyetu vinaeleza kuwa, kutokana na hali ya Kitendawili kubadilika na kujieleza kuwa hajisikii vizuri, ilibidi maswali kwenda kwa bwana harusi ambayo kimsingi yalitakiwa kujibiwa na Meddy, siku hiyo yajibiwe na kaka yake, Abdul Mpakanjia.ÒBinadamu ni vipofu kwenye suala la kifo, lakini pale pale harusini alilalamika anaumwa na ndiyo maana maswali ya bwana harusi aliyajibu kaka yake, Meddy hakujibu,Ó alisema mtoa habari wetu na kuongeza:ÒMimi nmachukulia kuwa umauti ulianza kumzunguka tangu wakati akiwa kwenye ndoa, kwa sababu muda mfupi baada ya kufika nyumbani alilalamika tumbo linamuuma sana, siku hiyo alilala kwa tabu, kesho yake alipopelekwa hospitali alifariki dunia.Meddy, alifariki dunia Jumatatu ya wiki hii kwenye Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo, Dar es Salaam na kuzikwa siku iliyofuata (Jumanne) kwenye makaburi ya Kisutu, jijini Dar.Marehemu ameacha mjane, Zaitun na watoto wanne, Abdulrahim, Ibrahim, Karim na Abdulrahman a.k.a Rahmanino ambaye alizaa na aliyekuwa mkewe, Mbunge wa Viti Maalum, UVCCM, Amina Chifupa Maboga.




na abdallah shelufumo

burihani mpakanjia

Zaitun ambaye anaonekana ukurasa wa mbele wa gazeti hili, alifunga ndoa na Meddy Jumapili iliyopita na kuishi naye kwa saa kumi na saba kabla ya kifo cha mumewe. Hata hivyo, gazeti hili lina mengi ambayo yameibuka kufuatia kifo hicho kilichotokea ghafla, moja ya hayo ni kugundulika kuwa, marehemu alishaandika mirathi ya nyumba zake mbili, zilizoko Sinza na Mbezi, jijini Dar es Salaam. Habari zinasema kuwa, marehemu alimwandika mtoto wake wa mwisho, Abdulrahman Mohamed Mpakanjia a.k.a Rahmanino kurithi ule mjengo wa pale Sinza-Mori. Mbali na huyo, mtoto mwingine ambaye amepata nyumba kupitia mirathi hiyo ni Rahim Mohamed Mpakanjia ambaye anakuwa mmiliki wa nyumba ya Mbezi. Watoto wengine wa marehemu, Ibrahim na Karim Mohamed Mpakanjia, wote wamerithi nyumba mbili zilizopo, Tandika, wilayani Temeke, Dar kwa kila mmoja kuchukua ya kwake. Kauli ya marehemu aliyoiacha kwa mkewe mpya, Zaitun wakati akipelekwa Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo ni jambo lingine nyuma ya msiba huo. Habari zinasema, marehemu Mpakanjia alimwambia mkewe huyo kwamba, anapelekwa hospitali, lakini hatopona na hivyo ana uhakika kuwa, anamwacha katika eda. Zaitun alilithibitishia gazeti hili kuwa, kweli marehemu alitamka maneno hayo, licha ya kwamba awali hakuwa amejua alilenga nini. “Marehemu wakati anapelekwa hospitali aliniambia, mke wangu nakuhurumia, napelekwa hospitali lakini nakuacha eda,” alisema Zaitun. Aidha, mapya mengine ambayo yaliutikisa msiba wa Meddy ni ndogo ndogo ambazo zimelifikia gazeti hili kwamba baadhi ya ndugu wa marehemu wanamnyanyapaa Zaitun kwa maelezo kuwa yeye si mke halali. Ushakunaku wetu msibani umebaini kuwa mpaka juzi, Zaitun alikuwa hajavalishwa mavazi rasmi ya mwanamke mjane ambayo huvaliwa wakati wa eda. Katika hilo, Amani limebaini kwamba kulikuwa na mikakati ya chini kwa chini kutoka kwa baadhi ya ndugu wa marehemu, waliotaka ‘kutaifisha’ haki zote za mjane huyo.

get informed by ze fumo

Thursday 24 September 2009

mubarakatul eid

kaka nanihiii anapenda kuwapa mkono wa eid el fitr wadau wa wote wa london.