Pages

Search This Blog

michuzi, MK,HAKI NGOWI, BONGO CELEBRITY, WATANZANIA, NGURUMO

Wednesday 15 September 2010

TANZANIAN ASSOCIATION READING AND BERKSHIRE


Habari za leo ndani ya Reading, UK.

Siku iliyokua ya mafanikio makubwa kwa watu walioenda kwenye training hiyo. Wachache wamepata nafasi ya kukutana na wakubwa wa kampuni ya CALADAN EXECUTIVE TRAINING NA KUPEWA BAADHI YA TIPS KUHUSIANA NA UPATIKANAJI WA KAZI BILA KUWA NA UZOEFU.

Watu waliohusika katika mafunzo hayo ya kuandaa cv nzuri na jinsi ya kujibu maswali wakati wa interview wamekua wazi kabisa na kuona wenyewe ni jinsi gani watu hukosa kazi sio kwa ajili hawajasoma ila ni kwasababu ya kuwa na cv yenye muonekano mbaya na jinsi ambavyo wanajibu maswali wakati wa interview.


imekua ni siku maalumu sana kwani watu wameondoka wakiwa wameelimika kabisa na kuombwa waone jinsi ambavyo wanaweza kufanya kazi bila malipo (volunteer) ili Kupata fursa ya kutengeneza cv zao. Picha hapo chini ni za leo kwenye training .





ND;James Ahadi akiwa na Abdallah Shelufumo ambae ni mmiliki wa blog hii wakiwa wanafanya kazi ya kurekebisha cv mbovu za watu zilizo tumwa kwenye makampuni mbalimbali na kuzitoa makosa ili kuwawezesha wengine kuona jinsi ya kuandika cv.

Zefumo ikiripoti kutoka http://tareading.blogspot.com/




No comments:

Post a Comment