Pages

Search This Blog

michuzi, MK,HAKI NGOWI, BONGO CELEBRITY, WATANZANIA, NGURUMO

Wednesday 30 September 2009

Godorn Brown: labour itashinda bila nguvu ya soda

Mapema leo hii, mheshimiwa Waziri Mkuu nchini humu [uingereza] Bw. Gordon Brown amesema kwamba ni wananchi wenyewe ndio watakao fanya matokeo ya uchaguzi unaokuja kuwa yanavyostahili. Mh. Brown alitoa kauli hiyo baada ya kuona kwamba Gazeti la The Sun linavyomkumbatia bwana Cameroon, na hivyo kusistiza kwamba ni wananchi wenyewe nasi The Sun ndio watakao toa majibu ya uchaguzi.

blog yetu ya Zefumo ilimkariri mheshimiwa brown akisema kwamba vyombo vya habari ikiwemo magazeti yako entittled [kumradhi nimekosa neno la kiswahili kuliweka hapo]na kutoa maoni yao kwa jinsi wanavyotaka, hatahivyo sidhani kama wa hariri ndio watakao toa matokeo ya uchaguzi.

kutoka kushoto basi ni Mh. Gordon Brown, David Cameroon [katikati] na Nick Clegg kushoto.



Gordon Brown, David Cameron and Nick Clegg



picha na Abdallah Shelufumo
Zefumo.co.uk

No comments:

Post a Comment